KUHUSU SISI

Kimsingi tunaamini,kwa kuleta pamoja afya na tekinologia kwa njia husika kwa mazingira ya kijamii ya masoko yanayo kuwa (nchi za kati na zinazo kua), lazima itokeze mabadiliko ya msingi ambayo kwa kiasi kikubwa yataendeleza viwangovya matibabu katika masoko yanayo kua.

Hii ni jukwaa la uwingi-wa huduma kidigital ambalo linalenga uhitaji wa watafuta huduma na watoa huduma katika masoko yanayo kuwa, kusaidia kuweka usawa kati ya uhitaji na ugawaji wa huduma za afya.Lengo letu ni kutumia tekinologia katika njia ambayo inapunguza ugumu wa uhaba wa miundo mbinu ya huduma ya afya kwenye masoko yanayo kua.

Ili kuelewa vizuri athari za ufumbuzi wetu,hapa ni mfano halisi wa tatizo tanalo shughulikia:

Tunatoa ufumbuzi wa kusawazisha ugawaji na uhitaji wa huduma za utunzaji wa afya katika njia ambayo huongeza uimarisha mfumo wa ecolojia wa afya ya wenyeji.

Sisi katika MEDx eHealthCenter,tumeunganisha kiakili dhana inayo unganisha mwingiliano na urahisishaji, ambayo inawezesha kujiamini miongoni mwa wateja wetu na makundi ya wateja wetu.

Tunawezesha mwingiliano kati ya wadau wetu ambayo inapandisha sauti na kusaidia uhitaji wa kila kundi moja moja la wadau. Tunawezesha mwingiliano kati ya watafuta huduma na watoa huduma, na kinyume chake. Pia ,kati ya mtoa huduma, kwa pamoja enyeji na ndani ya uwigo, kuongeza mtafuta huduma na/au mtoa na upande wa tatu.

Kati ya faida zinazo endana na huu muundo wa mwingiliano ni pamoja na:

About us EPD